Loading...

MTABIRI: Chama Kitakachoshindwa Ndiyo Utakuwa Mwisho Wake!

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA


MTABIRI maarufu nchini, Maalim Hassan Yahya Hussein amesema chama cha siasa kati ya vyama viwili vikubwa nchini kitakachoshindwa katika uchaguzi mkuu mwaka huu ndiyo utakuwa mwisho wake.

Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum jana, Maalim Hassan alisema Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) vina wakati mgumu na vinashikwa kinyota kutokana na wagombea wake kutofautiana.

“Mwaka huu ulianza Alhamisi ambayo kinyota asili yake ni moto na wagombea wao, Edward Lowassa wa Chadema jina lake linaanzia L , nyota yake ni Mshale ambayo asili yake ni moto na (Dk. John) Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi ambaye jina lake linaanza na M, nyota yake ni ya samaki ambayo asili yake ni maji, majina hayo yana maana sana kinyota.

“Kwa kawaida maji huzima moto lakini pia maji yakizidi, moto huzimika, hii maana yake ni kwamba chama ambacho mgombea wake ana nyota asili ya maji kikishinda, basi kile cha mgombea ambaye asili yake ni maji kitakufa na moto ukizidi unaweza kukausha maji, hivyo kiutabiri chama kitakachoshindwa kitakufa moja kwa moja au kufifia sana,” alitahadharisha.
Chadema mwenyekiti wake ni Freeman Mbowe wakati CCM mwenyekiti wake ni Rais Jakaya Kikwete.

Uchaguzi mkuu nchini unatarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu na Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kwamba matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa 72. BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top