BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Matukio mengi yanazidi kuongezeka zikiwa zimebaki siku 25 tu kabla
watanzania hawajapiga kura kumchagua rais wa awamu ya tano, mengine
yakiwa ya kufurahisha, mengine ya kuudhi lakini mengine ya kusikitishwa.
Mgombea
urais wa Chadema anaeungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda
Ukawa, Edward Lowassa ameelezwa kusikitishwa na tukio la polisi kuwapiga
mabomu wafuasi wa chama hicho waliokuwa wakitoka katika uwanja wa
Tangamano jijini Tanga.
Lowassa ameeleza kusikitishwa kwake na
tukio hilo jana alipokuwa akiwahutubia wananchi katika uwanja wa Chuo
Cha Ualimu, Korongwe, Tanga.
“Niliporejea hotelini baada ya
mkutano wa jana, nilipata taarifa kuwa polisi waliwapiga mabomu wafuasi
wa Ukawa, nasikitika sana kwa kitendo kil, kwa sababu tulikubaliana
polisi wasipige watu mabomu,” alisema Lowassa.
Mgombea huyo aliwataka polisi kutowapiga mabomu wananchi bali washirikiane nao ili wafanye kazi pamoja.
Lowassa
ambaye aliwaahidi wananchi hao kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais wa
Tanzania, ataifumua Bandari ya Tanga na kuijenga upya pamoja kufufua
reli mkoani humoBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Post a Comment