Mke wa Waziri Mkuu Msaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa
(kushoto) akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubwa wakati akizungumza
machache kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya
kuzaliwa kwake iliyofanyika leo nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es
salaam.
Mama Regina Lowassa akiwa na Marafiki zake wakati hafla hiyo ikiendelea.
Mama Regina Lowassa akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake waliohudhulia hafla hiyo.
Watoto wa Mh. Edward na Mama Regina Lowassa, Dkt. Adda (kushoto) na Bi.
Pamela Lowassa wakiimba wimbo maalum wa kumpongeza Mama yao kwa kutimiza
miaka 60 ya kuzaliwa kwake.
Waziri Mkuu Msaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akisoma
shairi alilolitunga mwenyewe,ikiwa ni sehemu ya pongezi kwa Mkewe Mama
Regina Lowassa kutimiza Miaka 60 ya kuzaliwa kwake.
Mama Regina Lowassa akikata keki.BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.


Post a Comment