Yadaiwa kuwa sababu ni hitilafu ya umeme
Nyumba ya makazi ya mwenyekiti wa chama cha NCCR-MAGEUZI,JAMES
MBATIA,imeteketea kwa moto jana majira ya saa saba unusu mchana , kwa
kile kilichoelezwa kuwa huenda ni hitilafu ya umeme unaosemekana
kukatika asubuhi na kurejea mchana kwa kasi zaidi.
Akizungumza ,kaka wa James Mbatia FELIX KESSI,amesema hadi sasa
wanachoweza kueleza ni uharibifu uliotokea kutokana na moto huo , kwani
hawakuwepo wakati wa tukio , ingawa anawashukuru majirani walioweza
kuokoa baadhi ya vitu vya ndani.
Amesema ni mapema mno kuzungumzia aina ya uharibifu kwani atakayeweza
kujua zaidi ni mkewe na Mbatia ambae kwa wakati huo, haikuweza
kuzungumza naye, kufuatia kupandwa na shinikizo la damu kutokana na
tukio hilo .
Kwa upande wake mkuu wa oparesheni hiyo kutoka kikosi cha zima moto na
uokoaji kwa wakati huo nyumbani hapo sajenti HAJI MADULIKA, amesema
kikosi chake kiliwahi eneo la tukio ingawa kutokana na ukubwa wa moto,
walishindwa kuokoa baadhi ya vitu, aidha ameoneshwa kushangazwa kwake na
tabia ya watu kuwashutumu askari wa zimamoto kwa kuchelewa huku
wanacnhi wakielewa hali halisi ya barabara.
CHANZO: CHANNEL TEN
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.


Post a Comment