Askari aliyekuwa akiongoza msafara wa mgombea urais wa CCM Dr.John Pombe Magufuli amefariki baada ya kugongana na bodaboda eneo la ubungo jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama Barabarani Mohamed Mpinga amethibitisha kutokea kwa kifo cha Askari huyo.
Dk Magufuli amefanya kampeni katika jimbo la Segerea leo jijini Dar es Salaam kabla ya kuruka na kuelekea jijini Mwanza ambako amefanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya FurahishaBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.



Post a Comment