Loading...

BREAKING NEWS : MADEREVA WA MALORI WAFUNGA BARABARA YA MOROGORO BAADA YA MWENZAO KUPIGWA RISASI

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA Madereva wa magari makubwa aina ya Lori wafunga Barabara ya Morogoro baada ya mwenzao kupigwa risasi na Bosi wake-Yadaiwa dereva alikula njama kuiba mafuta kisha kutaka kulichoma gari.abari za asubuh hii zinasema Madereva wa Malori wameamua kuacha Magari yao njiani, ni baada ya mwenzao kukwatuliwa Risas Bandarini jana, Magari hayatembei kabisa toka Kibaha kuja Ubungo.Kamanda wa Polisi wa mkoa wa kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura,ameithibitisha kupokea taarifa za mgomo huo na kwamba anafuatilia ili kujua kama taarifa hizo zina ukweli kiasi gani. Atatoa taarifa kamili baada ya mudaBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top