BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kujihakikishia ushindi katika
uchaguzi mkuu wa mwaka huu licha ya upinzani mkali wanaoupata kutoka kwa
mgombea urais wa Chadema anaengwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa.
CCM
imetoa kauli hiyo katika tamko la chama hicho lilisainiwa na mjumbe wa
kamati ya ushindi wa chama hicho, January Makamba katika taarifa yake
kwa vyombo vya habari ikilaani kitendo wanachodai kilifanywa na wafuasi
wa Chadema jijini Tanga, kufanya fujo na kumwaka ‘mkojo’ kwenye ofisi za
CCM.
“Tukio la Tanga la Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga kupigwa
mawe limewaudhi na kuwakera wana-CCM na wapenda amani wote wa Tanga.
Hata hivyo, tumewasihi wana-CCM wasilipize kisasi. Chama chetu kina
dhamana ya uongozi wa nchi na ulinzi wa amani ya nchi yetu. Wenzetu
dhamana hiyo hawana. Chama chetu kina uhakika wa kushinda na kushika
dola, wenzetu wana uhakika wa kushindwa na wamekwishakata tamaa.”
Wiki
kadhaa zilizopita, Makamba alitoa taarifa kuwa utafiti unaonesha kuwa
CCM itashinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa asilimia 85. Hata hivyo,
hakutaja jina la kampuni iliyofanya utafiti huo.
Hata hivyo, Ukawa
wamekuwa wakieleza kuwa mwaka huu watashinda kwa asilimia zaidi ya 70
dhidi ya CCM kutokana na utafiti walioufanya wa kitaalam.BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Post a Comment