BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Taarifa tulizozipata zinaeleza kuwa Kambi ya Ukawa imepanga kuzindua
rasmi kampeni yake walioyoipa jina la ‘Toroka Uje’, ikiwa na nia ya
kuhamasisha watu wengi kukitoroka Chama Cha Mapinduzi na kumuunga mkono
mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.
Kwa mujibu wa taarifa
kutoka kwa chanzo chetu, baadhi ya majina ya vigogo wa CCM wanaodhaniwa
kuwa huenda wakajiunga na kambi ya upinzani kupitia kampeni hiyo ni
pamoja na mwana siasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru.
Wengine
wanaotajwa kuwa huenda wakajiunga na Ukawa ni pamoja na waziri
asiyekuwa na wizara maalum, Profesa Mark Mwandosya, Waziri wa Maendeleo
ya Jamii, Sophia Simba na Balozi Juma Mwapachu.
Hata hivyo, Sophia
Simba ambaye aliwahi kupinga wazi uamuzi wa Kamati ya Usalama na
Maadili ya CCM kulikata jina la Edward Lowassa, aliwahi pia kukanusha
kuwa na mpango wa kumfuata mwanasiasa huyo katika kambi ya upinzani.
Jina
la Profesa Mark Mwandosya na Mzee Kingunge ni kati ya majina ya watu
waliopinga waziwazi uamuzi wa CCM kulikata jina la Lowassa kwenye
kinyang’anyiro cha kumtafuta mgombea urais, ambapo Dk. John Magufuli
alichaguliwa kati ya wagombea 42.
Profesa Mark Mwandosya aliwahi
kusikika akieleza kuwa wajumbe wa kamati ya Usalama na Maadili pamoja na
mwenyekiti wa Kamati hiyo ya CCM walikuwa na majina yao mfukoni.
Baada
ya kujitokeza hadharani kupinga uamuzi wa CCM, Umoja wa Vijana wa CCM
(UVCCM) ulimvua madaraka aliyokuwa nayo katika umoja huo kwa madai ya
kutokuwa na imani naye baada ya kukiuka taratibu za chama.
Tuendelee
kusubiri matokeo ya kampeni ya ‘Toroka Uje’ ya Ukawa, huku tukisubiri
pia matokeo ya kampeni ya ‘Nimeshtuka’ ya CCM, zote zikiwa na lengo moja
la kusomba wafuasi wa vyama. Je, nani atavuka kwenda ng’ambo ya mto?
Majibu yatapatikana hivi karibuni kwani zimebaki siku 25 tu.
source- dar24 BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Post a Comment