Kituo
maarufu cha televisheni cha ITV daima kinachomilikiwa na mfanyabiashara
Reginal Mengi,Kimeingizwa kwenye tuhuma ya kutoonesha habari yoyote ya
mikutano ya chama cha ACT Wazalendo toka kuanza kwa awamu ya pili ya
mikutano hiyo,Mikutano iliyotajwa kuto onekana taarifa zake niya mikoani
Mbeya,Tabora,Shinyanga na Dar es Salaam mwembe yanga jumamosi
iliyopita.Haijafahamika sababu ni ipi,Ikumbukwe kwamba kiongozi wa ACT
Zitto Zuberi Kabwe alituhumiwa kupeleka habari kwa muheshimiwa rais
kwamba Reginal Mengi amesema rais atakapo maliza muda wake
atamshuhulikia gazeti la taifa leo liliandika hivyo,Habari hiyo
ilimfanya mmiliki huyo akionekana kwenye vyombo la habari akihofia
usalama wake na kumuomba rais atoe kauli yake.
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Post a Comment