Yafuatayo ni maneno kwenye mistari
tofauti iliyoandikwa na Rais Jakaya Kikwete ikiwa ni miezi mitatu tu
imebaki Tanzania kuingia kwenye uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge.
Hii ni tweet ya kwanza aliandika July 4 2015 >>> ‘Utaratibu
bora wa kuchagua kiongozi wa nchi si wa kuanza kujadili majina, bali wa
kuanza kujadili changamoto na vipaumbele vya Taifa kwanza‘
Tweet alizoandika July 5 2015 >>> ‘Tusiwasikilize
wanasiasa wanaowagawa Watanzania na kutumia fedha kutafuta madaraka.
Mchezo wao ni mauti yetu. Wakatalieni kwa macho makavu, Tusiruhusu
wanasiasa kutumia dini ambazo ni mhimili muhimu wa amani yetu. Ukiwepo
mfarakano wa kidini hakuna mtu wala eneo litakalonusurika’
Mstari mwingine ameandika >>> ‘Tukiamua
kwa utashi wetu kuzipoteza tunu za amani na upendo, katu hatuwezi
kusema ni mapenzi ya Mungu bali itakuwa ni makosa yetu wenyewe, kiongozi
wa dini anapaswa kukumbusha wajibu wa: kujiandikisha, kupiga kura na
kuchagua kiongozi bora; si kuwaambia waumini wamchague fulani‘
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Post a Comment