Katika hali isiyokuwa ya kawaida leo hii Edward Lowassa amewakera waandishi wa habari baada ya kuwaita nyumbani kwake Masaki.
Taarifa iliyotumwa kwa wahariri leo asubuhi ilikuwa inasema:
Habari za asubuhi wahariri, Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa ana Press Conference
leo Saa 5:00 nyumbani kwake Masaki.
Mnaombwa kutuma waandishi wa habari na kwa wale wenye fursa kufika. Good morning.
Lakini
baada ya waandishi kufika nyumbani kwake wakakutana na tangazo kuwa kuwa
ameahirisha kuzungumza na waandishi hadi hapo itakapo tangazwa tena.
Kitendo hicho kimewakera sana waandishi wa habari.
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.


Post a Comment