BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego amefunguka kuwa hataki watoto
wake,Curtis na Munie wasome kwa shida kama yeye alivyosoma kwa
tabu,ndiyo maana amewanunulia gari la kuwapeleka shule.
Akipiga stori na Clouds FM,alisema kuwa gari hilo lina vitu muhimu ndani
kama meza ya kulia chakula,sinki la kunawia mikono,kitanda cha
kulalia,TV na huduma nyingine ambalo wataanza kulitumia mwakani.
‘’Unajua mimi nilisoma kwa shida sana,sasa sitaki watoto wangu wapate
shida ndiyo maana nimewanunulia gari la kuwapeleka shule wataanza
kulitumia mwakani,na nitaajiri dereva wa kuwapeleka shule,’alisema NayBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Home » Unlabelled » NAY WA MITEGO: Sitaki Watoto Wangu Wasome kwa Shida Ndiyo Maana Nimewanunulia Gari la Kuwapeleka Shule





Post a Comment