“Cha kushangaza sisi ni
kundi lakini hata alipokuwa na sherehe yake juzikati hakutualika kisa
kikiwa ni hizo hela, sisi tunamsihi kama mchezo umemshinda arudishe tu
hela za watu,” alisema sosi aliyeomba hifadhi ya jina lake.
Flora alitafutwa kwa
njia ya simu ili kuzungumzia tuhuma hizo ambapo alipopatikana
alishangazwa na kitendo cha habari hizo kufika gazetini kisha akakata
simu.
Mtangazaji Maimartha
Jesse ambaye ndiye mweyekiti wa kikundi hicho alipotafutwa kufafanua
madai hayo alisema: “Yaani haya mambo hayawahusu kabisa, ni mambo
binafsi nawaomba muachane nayo.”
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Post a Comment