BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Diamond Platnumz is unstoppable! Ni muda mrefu sasa
tumekuwa tukisikia tetesi kuwa amerekodi ngoma na msanii mkubwa wa
Marekani japo hakuwahi kumtaja, lakini sasa tunaweza kuwa na ubashiri
sahihi!


Muimbaji
huyo alikuwa akiongea kwenye kipindi cha 360 cha Clouds TV leo asubuhi
ambapo aliulizwa ni msanii gani wa nje ya Afrika anayependa kufanya naye
kazi.
Diamond alidai kuwa tayari msanii anayemkubali zaidi nchini Marekani ameshafanya naye kazi japo hakupenda kumtaja tena.
Aliombwa
amtaje msanii mwingine tofauti na huyo na kusema wasanii watano
anaowapenda zaidi nchini Marekani ni Nicki Minaj, Chris Brown na Usher
Raymond na kwamba mmoja kati ya hao tayari ameshafanya naye ngoma!
So ubashiri wetu ni Nikki Minaj!
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Saturday, June 13, 2015
Post a Comment