BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Msanii mkongwe wa muziki kutoka mkoani Morogoro, Afande Sele ambaye 
alikuwa mgombea nafasi ya ubunge katika uchaguzi uliopita kwa tiketi ya 
ACT Wazalendo amefunguka kwa kuonyesha kutoridhishwa na mwenendo wa 
viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo.
Rapper huyo amesema viongozi wa chama chake hawaeleweki wapo upande gani kutokana na kubadilisha misimamo yao kila mara.
“Chama changu cha Act-Wazalendo bwana wakati flani hata mimi sikielewi 
kama ni malaika au shetani. Ni kama kiumbe aitwae mkunga haeleweki ni 
samaki au nyoka zaidi tumekuwa kama popo hatupo katika kundi la ndege au
 mnyama…labda hatueleweki au hatujielewi kwa mfano wakati wa kampeni 
viongozi wetu walijikita kuponda wapinzani wenzetu hasa mzee Lowasa na 
UKAWA na baada ya uchaguzi viongozi wetu wakampongeza Magufuli kiasi cha
 kujipendekeza hadi wakampa Ilani ya chama chetu akaitumie akiwa Ikulu. 
sasa ajabu leo hii tumegeuka tena kwa kiongozi mkuu kila siku anamponda 
Rais Magufuli na chama chake halafu kiongozi wangu mwingine comrade 
mchange yeye kila siku anamponda mzee Lowasa na ukawa yake” aliandika 
kupitia facebook.
Aliongeza “Katika mgogoro wa CUF unaoendelea sasa hivi eti viongozi wote
 hao wa chama chetu wamejigeuza team Lipumba…sasa sielewi sisi kama 
wanachama tusimamie wapi….’Nyuma ya 
pazia’dilidilisha…mchongo=mchongoma…ni bora kuwa Moto au Baridi kuliko 
kuwa vuguvugu kwani vuguvugu ni ishara ya unafki ambao hata maandiko 
yanakataza…Kweli itatuweka huru,”
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Home » Unlabelled » HATIMAYE AFANDE SELE AMTOLEA UVIVU ZITTO KABWE....ASEMA CHAMA CHA ACT WAZALENDO HAKIELEWEKI
    



 
 
 
 
 
 
1 comments:
BetRivers | casino - Jetx.com
ReplyBetRivers, a Las 과천 출장마사지 Vegas casino, operates as an online sportsbook, which 출장안마 is operated by Caesars Entertainment Group, a 김포 출장마사지 company that 안성 출장안마 owns 순천 출장샵 and operates
Post a Comment