BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Mwigizaji maarufu wa Bongo Movie hapa nchini Ray Kigosi amesema
kwamba yeye hajawahi kujichubua bali huwa anakunywa maji mengi pamoja na
kufanya mazoezi .
Ray ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano katika kipindi cha ENews
kinachorushwa na EATV na kusema kwamba hua anakwenda salon mara moja
kwa wiki kwa ajili ya kusafisha uso wake (Scrub) ili akiwa anafanya kazi
zake watu waweze kumwona vizuri na kupenda kazi zake.
“Zamani kipindi kile shida kuingia saloon kufanya scrub, sasa hivi
najiweza katika hivyo vitu, kwa hiyo kwa kila wiki moja lazima nifanye
scrub, nijitengeneze mwili wangu kama kioo cha jamii ninapotokea katika
TV, basi kwanza kabla sijaanza kuzungumza wewe Mtanzania uweze
kuniadmire, kwa hiyo kimsingi sijichubui, mimi nafanya sana mazoezi ndio
siri ya ngozi yangu kunawiri”, alisema Ray Kigosi.
Hivi karibuni kuliibuka minong’ono na hata msanii wa muziki wa bongo
fleva Nay wa Mitego, kumuimba msanii huyo wa filamu kuwa amekuwa mkongo
na kubadilisha rangi yake. (Kujichubua).
Naye Mpenzi wake Chuchu Hans amesema kwamba Mpenzi wake hajichubui
bali ni maisha yamemkubali tofauti na hapo nyuma alivyokuwa anahangaika
kuinua sanaa na kipaji chake.
Katika kipengele cha ”Cheche” ambacho majirani hupewa nafasi ya
kumzungumzia msanii au mgeni wa siku kwenye show wamesema kwamba Ray
apunguze kutumia vipodozi kwani anakuwa kama mchina.
Pia wamemtaka mwigizaji huyo kuwa na moyo wa kusaidia wasanii chipukizi ilikukuza tasnia ya uigizaji hapa nchini.
Eatv.tvBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Home » Unlabelled » RAY KIGOSI ASEMA WEUPE WAKE UNATOKANA NA KUNYWA MAJI MENGI,NA SIO MKOROGO..VP UNAKUBALIANA NAYE ?
Post a Comment