BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Kimenuka! Mbongo-Fleva mwenye taito kubwa Afrika kwa sasa, Nasibu
Abdul ‘Diamond Platnumz’, anadaiwa kutibuana na kaka yake, Romy Jones
‘Romy Jons’, kiasi kwamba hata mawasiliano ya simu hayapo kama
ilivyokuwa zamani.
Hivi karibuni chanzo makini kimeliambia gazeti hili kwamba, Diamond
na kaka yake huyo ambaye ni mtoto wa mama yake mdogo wamefikia hatua ya
kutoongea na hata kuambatana katika kazi zao kama ilivyokuwa mwanzo
ambapo Romy Jons ndiye mtu pekee aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ya kuwa
na Diamond hata katika safari za nje ya nchi.
Imedaiwa kwamba, kisa kikubwa cha wawili hao kugombana ni kufuatia
Diamond kushindwa kuendelea kuvumilia tabia za utovu wa nidhamu
aliyokuwa akiionesha Romy Jons kila mara, kwani hadi Diamond anafikia
hatua hiyo huko nyuma anadai kuiingia hasara kubwa kutokana na kaka huyo
kuwa na tabia za ajabu kwani kuna muda alikuwa akimlipia hadi tiketi za
ndege ili wasafiri pamoja lakini jamaa akawa hatokei.
Kuna madai kwamba, Romy Jons amekuwa akiambatana na makundi yasiyofaa huku ulevi ukitajwa kuwa tatizo kubwa.
Baada ya kumwagiwa ‘ubuyu’ huo, gazeti hili lilizungumza na Diamond
juu ya madai hayo lakini aligusia kwa kifupi kuwa kwenye maisha kila mtu
ana namna alivyopangiwa kuishi na Mwenyezi Mungu, hivyo kinachoonekana
kwa sasa au kutokuwepo kwa Romy Jons ndani ya Wasafi Classic Baby (WCB)
ni mipango aliyochagua Romy Jons mwenyewe kwani yeye hana cha kuongea
zaidi.
Alisema kuwa ifahamike kwamba, Romy Jons ni ndugu yake wa damu hivyo
dosari au tatizo kati yao linabaki kuwa suala la kifamilia tu.
“Kuna mambo mengine ifikie hatua yaonekane na yapite tu, si kila
jambo naweza kuliongelea na kuliweka wazi maana mengine yapo kifamilia
zaidi ya watu wanavyochukulia, halafu naomba ieleweke kwamba kwenye
dunia hii kila mtu ana namna alivyochagua kuishi, hivyo maisha yangu
najua mwenyewe ninavyotamani kuwa kadhalika hata Romy Jons ana mipango
yake anayopigania kuikamilisha,” alisema Diamond.
Juhudi za kumpata Romy Jons ziligonga mwamba baada ya simu zake zote kutokuwa hewani hivyo zinaendelea ili kusikia upande wake.
Chanzo: GPLBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Post a Comment