Loading...

RUNGU LA MAGUFULI LAANGUKIA SHULE BINAFSI, SOMA KUJUA AGIZO LA SERIKALI

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada kwa mwaka 2016, mmiliki wa shule atakae kiuka hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yake, hii ni baada ya kugundulika kuwa kuna shule zisizo za serikali zimekuwa zikiongeza ada kila mwaka pasipo kupata kibali cha kamishina wa elimu.
Katika taarifa hiyo Profesa Mchome amesema utamaduni huo wa kuongeza ada kila fikapo mwishoni mwa mwaka umekuwa ukisababisha usumbufu mkubwa kwa wazazi na walezi na hata baadhi yao kushindwa kuendelea kusomesha vijana wao katika baadhi ya shule.
Taarifa hiyo imesema kuwa ada zote kwa shule zisizo za serikali zitabaki kama zilivyo idhinishwa na kamishina wa elimu, wamiliki wa shule hizo wametakiwa kuwasilisha taarifa kwa msajili wa shule aliyeko idara ya ithibati ya shule inayo eleza kiasi cha ada kinachotozwa kwa sasa na tarehe shule kutoka kwa kamishina wa elimu
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top