Joyce Kiria |
‘HOST’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kuwewesekea
matokeo ya uchaguzi baada ya mumewe aliyekuwa akigombea Ubunge Jimbo la
Mwanga kushindwa. Baada ya matokeo kutangazwa, Joyce alijikuta akiandika
waraka mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akieleza jinsi
alivyoyapokea matokeo hayo kwa maumivu.
Joyce Kiria na Mumewe |
Akizungumza na Ijumaa, Joyce alisema kushindwa si kitu cha ajabu kwani
unaangalia umeshindwaje lakini kwa hili la mumewe hakuridhishwa na
mchakato.
“Nimeumia sana mume wangu kukosa ubunge lakini najiuliza kwa nini
walikuwa wakimkatalia kuhesabu kura kwa mara ya pili? Hivi vitu
vinaumiza sana, vikitokea lazima upatwe na kiwewe,” alisema JoyceBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Post a Comment