BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Ninapenda kuwashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama changu, CHADEMA,
kwa kunipitisha kwa kura zote kuwa mgombea wa Urais kupitia muungano wa
vyama vyetu, UKAWA. Kiupekee kabisa napenda kumpa shukrani na pongezi
mgombea mwenza, Juma Duni Haji Kwa kukubali majukumu haya makubwa ya
kuelekea mabadiliko makubwa pamoja na Mwenyekiti wetu, Freeman Mbowe kwa
kusimama imara katika kipindi hiki kigumu. Nimewaambia wajumbe wa
mkutano mkuu kuwa natambua kazi wanayofanya ni kubwa na wanajitolea, na
kwa umoja wetu, tutafika kila jimbo na kufanya kampeni za kisayansi bila
matusi na tutapata Ushindi wa Asubuhi Mapema. Asanteni sana kwa imani
yenu kwangu.BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Post a Comment