BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Nimependa jinsi furaha ilivyo tawala kwenye video hii. Nimependa jinsi
stylist alivyochagua rangi za nguo za wahusika ambazo zimeendana vyema
kabisa na rangi za kuvutia zilizowatala kwenye location. Rangi za
nyumba, magari ziko on point balaa – kila kitu kinaonekana kiliweka kwa
hesabu kali sana hapa. Navutiwa mno na yule dancer wa kike aliyekuwa
anaangalia gari lake lililoharibika na Alikiba aliposogea kutaka
kumsaidia wakaanza kucheza, connection na chemistry hatari sana hapo
inaonekana – kama wanafahamiana kitambo.
Wale dancers wanaocheza mbele ya kiduka chenye spika mbele yake wako on
point. Yule demu point 5 aliyevaa kofia kama ya Michael Jackson yuko on
point na kapendeza sana – Alikiba pia anaonekana kummudu vyema. Quality
nzuri kabisa inayovutia machoni. Picha hazijapikwa wala nini – natural
kabisa! Kimsingi hii ni video kali na niamini kuwa itaufanya wimbo huu
kuwa mkubwa zaidi Afrika. I love it. Watch it, Enjoy and stop comparing!
Shout Outs kwa @officialalikiba na director @mejialabi #TeamTanzania
By Fredrick BundalaBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Home » Unlabelled » Vitu Nilivyopenda Kwenye Video Mpya ya ALI KIBA iliyotoka Jana na Kuacha Gumzo Mitandaoni..
Post a Comment