Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi(CCM), Nape nnauye amemwambia Mwanasiasa Mkongwe Nchini Kingunge Ngombale Mwiru 'afanye anachotaka kufanya'
-Juzi Mzee Kingunge aliongea na Waandishi wa Habari na kulalamika kuwa mchakato wa kumpata mgombea Urais ndani ya CCM haukufuata taratibu
Katika hali ya kuonyesha mpasuko ni dhahiri ndani ya CCM, jana Nape amefunguka kuhusu msimamo na kauli za Kingunge na kumwambia afanye anachotaka kufanya.
Nionavyo ubabe huu lazima CCM watavuna walichopanda na wanacho kipalilia. katika hali isiyo ya kawaida katibu mkuu mstaafu Mzee Makamba kaibuka na kumzodoa Kingunge kwamba anatetea maslahi yàke.
Acha mpambano uendelee. BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Post a Comment