BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Brighton Masalu
BLANDINA Chagula ‘Johari’ ambaye ni mwigizaji mkongwe Bongo, amejuta
kuachana na aliyewahi kuwa mpenzi wake, Donald Mwakamele ‘McDonald’ kwa
kusema kuwa angeendelea naye, angekuwa mwanamke mwenye heshima.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, staa huyo alisema vurugu za
kimapenzi anazokutana nazo kila mara, zimekuwa zikimfanya arudishe
mawazo nyuma ya kwamba, angeendelea na uhusiano na McDonald, angekuwa na
maisha yasiyokuwa na mateso ya kihisia.
Hata hivyo, bila kumtaja, Johari alisema mpenzi aliyenaye kwa sasa
anampa ‘stresi’ nyingi kwa kumchanganya na wanawake tofauti, jambo
ambalo hakuwahi kukutana nalo katika maisha yake ya kimapenzi na
McDonald.
Alisema kuwa, licha ya kuwa ni muda mrefu tangu kutengana kwao, bado
wana uhusiano wa kawaida, ikiwemo kusalimiana na kubadilishana mawazo ya
kimaisha na kwamba kama mwanamke anayehitaji faraja ya kweli, huingiwa
na maumivu ya kuukosa uwepo wa mwanaume huyo na haiwezekani kurudiana
kwani McDonald ana familia.
“Unajua stresi za mapenzi ninazokutana nazo zinanifanya nikumbuke mbali
sana, uhusiano wangu na McDonald ulikuwa wa furaha sana, mpenzi wangu wa
sasa ananiumiza kwa mengi, lakini kubwa ni kunichanganya na wanawake
wengi,” alisema Johari.
Licha ya kukataa kumtaja mpenzi wake wa sasa, huko nyuma Johari aliwahi
kudaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’
ambaye kwa sasa ni mpenzi wa mwigizaji Chuchu Hans.
GPBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Home » Unlabelled » Mwigizaji JOHARI Ajuta Kuachana na Aliyekuwa Mpenzi wake wa Kwanza McDonald...Mpenzi wangu wa Sasa Ananichanganya na Wanawake Wengine
Post a Comment