Loading...

Mpasuko CCM: Wajumbe Waanzisha Varangati........Rais Kikwete Apokelewa Kwa Wimbo Wa Tuna Imani Na Lowassa.....!!!!.....Tuna Imani na Lowassa

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Mambo yamezua jambo ambapo wajumbe wa mkutano wa Halmashauri kuu inayokutana hivisasa chini Rais Dkt Jakaya Kikwete wameonesha wazi kupinga uamuzi wa mbunge wa Monduli Edward Lowassa jina lake kukatwa.

Hayo yamedhihirika hivisasa wakati Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt Jakaya Kikwete akiingia kufungua mkutano huo ambapo imezoeleka wajumbe huimba kuwa na imani na Mwenyekiti ambaye ni Rais Dkt Jakaya Kikwete lakini leo hali imekuwa tofauti.  Wajumbe walipaza sauti zao wakiimba wimbo wa kuwa na imani na Edward Lowassa.(  Tuna  Imani  na  Lowassa...!!!  Tuna  Imani  na  Lowassa!!)

Mkutano huo  wenye wajumbe  324 kati ya 374 umehudhuriwa na wajumbe mbalimbali wakiwemo baadhi ya wanasiasa walio omba ridhaa ya kuteuliwa kugombea urais ndani ya chama hicho.

Kwa upande  mwingine  mtia nia aliyechujwa Prof. Mark Mwandosya yeye kwa upande wake amewashukuru wananchi kwa ushirikiano walio mpa na kusisitiza kuwa hatogombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao. BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top