Ilipofika time ya tatu bora alipata taarifa kwamba hajapita kwenye mchujo wa kwanza ambapo sekunde chache baadae aliandika yafuatayo >>> ‘Matokeo rasmi ya wana-CCM watatu watakaondelea na mchakato yatatolewa punde. Hatumo. Lakini nina fahari kubwa na kampeni yetu na timu yetu’
‘Hatujapoteza uchaguzi kwasababu mimi na vijana niliokuwa tumejifunza mengi na tumejenga undugu. Tumepambana na matakwa ya Mungu yametimia, nawashukuru wote mliotuunga mkono. Mlitupa nguvu. Nawashukuru pia mliotupinga na kutukosoa. Mlitusaidia kujitazama na kujirekebisha‘ – January MakambaBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Post a Comment