Loading...

BREAKING NEWS :........ LEMBELI AJIUNGA CHADEMA RASMI

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Ni mtikisiko wa siku tatu kuanzia leo ambapo CHADEMA itakuwa na matukio makubwa ya kisiasa.Kila siku kukiwa na tukio kubwa litakalokumbukwa kwa siku nyingi zijazo kisiasa!
Tukio la kwanza litakuwa ni leo.Ambapo mbunge mmoja mashuhuri kutoka CCM atapokelewa rasmi CHADEMA leo.Kwa mujibu wa msemaji wa chama hicho Tumaini Makene muda sio mrefu kuanzia sasa kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari ambapo chama hicho kinachounda umoja wa Katiba ya Wananchi-UKAWA kitamtambulisha mbunge huyo rasmi kama mwanachama wake na itaelezwa sababu za kujitoa ndani ya CCM na kujiunga CHADEMA.
Fuatana nasi hapa ambapo tutawaletea taarifa kamili mara mkutano wa waandishi utakapoanza.....
Update 4:55 asubuhSasa ni rasmi Mbunge machachari wa Kahama James Lembeli ametangaza rasmi kujivua uanachama wa CCM na kujiunga na CHADEMA katika mkutano na waandishi wa habari unaoendelea hapa DSM.

Tukio hili pia limeshatangazwa live na Radio one stereo.Ikumbukwe mbunge huyu mpambanaji dhidi ya ufisadi ndiye aliyeongoza kamati teule ya bunge iliyoshughulikia suala la operesheni tokomeza na kusababisha mawaziri wanne kujiuzulu. 

CHANZO JF
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top