BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Watu
 wasiojulikana usiku wa kuamkia jana, waliiba mashine moja inayotumika 
kwa ajili ya kuandikishia vitambulisho katika daftari la kudumu la 
wapiga kura (BVR) katika kata ya Kayenze wilayani Magu mkoa wa Mwanza.
  
Akizungumza
 na mwandishi wetu, kamanda wa polisi wa mkoa wa Mwanza, Charles Mkumbo,
 amesema mashine hiyo pamoja na nyingine 13, zilienda kuchajiwa katika 
nyumba ya kulala wageni ya BM Lodgei, lakini asubuhi zilipofuatwa 
haikuweza kupatikana.
  
Kamanda
 Mkumbo amesema baada ya kupata taarifa ya kuibiwa mashine hiyo, msako 
mkali ulifanyika ukiwamo wa kuwahoji wasimamizi wa mashine hizo.
Anasema
 baada ya kufanyika msako mkali kwa kuweka vizuizi sehemu mbalimbali, 
walifanikiwa kuikuta ikiwa imetelekezwa njiani ikiwa salama bila 
kuharibiwa, lakini hakuna mtu aliyeweza kukamatwa.
  
Hata
 hivyo, kamanda Mkumbo amesema polisi wamefanikiwa kuwashikilia watu 
wawili wa nyumba hiyo ya kulala wageni kwa mahojiano ili kufahamu 
mashine hiyo ilivyoweza kutoweka katika mazingira ya kutatanisha.
  
Aidha,
 ametoa wito kwa waandikishaji kuwa makini pale wanapohifadhi mashine 
hizo ili zisiweze kuharibiwa ama kuibiwa na watu wengineBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...



 
 
 
 
 
 
Post a Comment