BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
OWM-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi
waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka
2015.Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za
Serikali.
Jumla ya wanafunzi 55,003 wakiwemo wasichana 23,303 na wavulana31,700
wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.
Kati ya
wanafunzi waliochaguliwa 29,744 wakiwemo wasichana 11,450 nawavulana
18,294 sawa na asilimia 54.08 watajiunga na masomo ya Sayansina
Hisabati; na wanafunzi 25,259 wakiwemo wasichana 11,853 nawavulana
13,406 sawa na asilimia 45.92 wamechaguliwa kusoma masomoya Sanaa na
Biashara.
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano mwaka 2015 wataanza
muhula wa kwanza tarehe 18 Julai, 2015 na hakutakuwa nafursa ya
mabadiliko yoyote ya shule.
Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika
shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti kwa
zaidi ya siku 14 kuanzia tarehe ya mwisho yakuripoti, nafasi yake
itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano naVyuo
vya Ufundi mwaka 2015 inapatikana kwenye tovuti ya OWMTAMISEMI
ya www.pmoralg.go.tz
Imetolewa na Katibu Mkuu,
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...



Post a Comment