Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili kwenye Ofisi za
CCM Mkoa wa Pwani, leo Juni 28, 2015, kabla ya kuelekea kwenye Ofisi CCM
Wilaya ya Kibaha Mjini kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM
waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania
kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Jumla ya
WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani. Kushoto ni Mkewe
Mama Regina Lowassa.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akisalimiana na Mdau Bashir Awale, nje ya Ofisi za CCM Mkoa wa
Pwani, leo Juni 28, 2015, kabla ya kuelekea kwenye Ofisi CCM Wilaya ya
Kibaha Mjini kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani ili
apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi
Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.Jumla ya WanaCCM 78, 500
wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akiwapungua mkono WanaCCM wa Mji wa Kibaha Mjini wakati
alipofika kwenye Ofisi za CCM kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM
waliomdhani ili apate ridhaa ya chama chake kuwania Urais wa Tanzania
kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Jumla ya
WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani.

Katibu
wa CCM Wilaya ya Temeke, Abdallah Mdimu akikabidhi fomu yenye orodha ya
majina ya Wadhamini kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania
Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa leo Juni 28, 2015. Jumla ya
WanaCCM 78, 500 wa Mkoa wa Pwani Wamemdhamini Mh. Lowassa ili apate
ridhaa ya CCM kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Tanzania
unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
Vijana wa Kikundi cha Ngoma za Utamaduni wakitoa burudani nje ya Ofisi ya CCM Kibaha Mjini.
Mbunge
wa Jimbo la Kibaha Mjini, Mh. Silyvestry Koka akizungumza machache na
wanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Mjini wakati wa zoezi fupi la kukabidhiwa
orodha ya majina ya WanaCCM waliomdhani Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza
nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, ili apate ridhaa
ya chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika
Oktoba 25, 2015. Kushoto ni Katibu wa CCM Wilaya ya Kibaha Mjini, Ndg.
Abdallah Mdimu. Jumla ya WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani
Pwani.

Taswira
mbalimbali za WanaCCM wa Mji wa Kibaha Mjini na maeneo ya jirani katika
zoezi la kupokea orodha ya majini ya WanaCCM waliomdamini Mh. Edward
Lowassa.
Askofu
mstaafu wa Kanisa kuu la KKKT Dayosisi ya Dodoma, Peter Lukumbusho
Mwamasika akimuombea Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania
Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, wakati alipofika kwenye Ofisi ya
CCM Wilaya ya Kibaha Mjini kukabidhiwa orodha ya majina ya WanaCCM
waliomdhamini kugombea Urais wa Tanzania, leo Juni 28, 2015.
Mke wa
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh.
Edward Lowassa, Mama Regina Lowassa akiwasalimia WanaCCM wa Wilaya ya
Kibaha Mjini, leo Juni 28, 2015.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Pwani,Ndg. Mwinshehe Shaban Mlawa akiwasalimia WanaCCM
wa Wilaya ya Kibaha Mjini, kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu Mstaafu na
Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, kutoa
shukrani zake kwa WanaCCM waliomdhamini ili apate ridhaa ya chama chake
kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25,
2015.
Neno linafika mahala pake, lazika kicheko kianguke.
Mpiga Picha, Khalfan Said akiitafuta taswira ya uhakika.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akizungumza na kuwashukuru wanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Mjini
waliomdhamini ili apate ridhaa ya Chama chake kuwania Urais wa Tanzania
kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Jumla ya WanaCCM 78, 500 wamdhamini Mh. Lowassa, Mkoani Pwani.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akiwapungia WanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Mjini, leo Juni 28,
2015.Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa Mama ambaye ni mlemavu wa miguu (jina lake halifahamika kwa haraka) wakati alipofika kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Kibaha Vijijini, Mlandizi Mkoani Pwani leo Juni 28, 2015.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisamiliana na Wazee wa Mji wa Kibaha Vijijini.

WanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Vijijini wakimshangilia Mh. Lowassa.
Mh.
Lowassa akisalimiana na mmoja wa WanaCCM wa Wilaya ya Kibaha Vijiji
wakati alipofika kuwasalimia na kuwashukuru kwa kumdhamini ili apate
ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama, kwenye Uchaguzi Mkuu
unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.

Sehemu ya Masheikh wa Mji wa Bagamoyo Mkoani Pwani wakiwa hadhara hiyo.

WanaCCM wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani, wakifatilia kwa makini salamu za Mh. Lowassa.
Kila Mmoja yuko tayari kuingia kwenye meli ya "Safari ya Matumaini"
Mwenyekiti
wa Wenyeviti wa CCM kutoka Zanzibar, Mzee BoraAfya akiwapa neno WanaCCM
wa Mkoa wa Pwani waliokuwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa CCM Wilaya
Bagamoyo, leo Juni 28, 2015.
Mwenyekiti
wa Wenyeviti wa CCM Tanzania, Mzee Mgana Msindai akatoa neno WanaCCM wa
Mkoa wa Pwani waliokuwa wamekusanyika kwenye Uwanja wa CCM Wilaya
Bagamoyo, leo Juni 28, 2015.
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akizungumza jambo mbele ya
umati wa WanaCCM wa Wilaya ya Bagamoyo, Mkoani Pwani , leo Juni 28,
2015.
Sheikh kutoka Wilaya Bagamoyo, Sheikh Hassan Kilemba akizungumza machache.
Umati wa WanaCCM wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akizungumza jambo na Shariff wa Bagamoyo, leo Juni 28, 2015.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akitoa shukrani zake kwa wanaCCM wa Wilaya ya Bagamoyo, Mkoani
Pwani kwa kumdhamini.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward
Lowassa akiwaralimia Watoto, Aisha (12) na Sikuzani (4) waliomfata
kumsalimia.
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.




















































Post a Comment