Loading...

Kauli ya MKE WA MBUNGE SUGU Faiza Ally: Mimi ni wa Nusu Uchi Toka Nizaliwe

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Imelda Mtema
MREMBO aliyewahi kuwa na uhusiano na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally, mwanzoni mwa wiki hii aliamriwa na Mahakama ya Manzese/Sinza, amkabidhi mtoto kwa baba yake (Sugu) ambaye aliiomba mahakama hiyo imruhusu apewe mtoto huyo kwa madai kuwa mama yake huyo anamlea kinyume na maadili.



Sugu aliileza mahakama kuwa mrembo huyo hana maadili kwani amekuwa akijipiga na kumpiga picha za nusu utupu mtoto na kuziweka mitandaoni kitu ambacho aliamini kitamsababishia akose maadili.

Mara baada ya hukumu hiyo kutolewa, Mikito Nusunusu ilimtafuta Faiza na kutaka kujua ameipokeaje pamoja na historia nzima ya yeye kukutana na mzazi mwenzake huyo, shuka na mtiririko wa maswali na majibu:

Alianza lini kuvaa mavazi ya nusu utupu?

“Jamani haya mavazi wanayosema navaa uchi sijaanza kuvaa leo ni tangu utotoni, hakuna ambaye hajui kitu hicho kwa kuwa hata mama yangu alikuwa akinishonea sketi ya shule ndefu mimi naenda kwa fundi kuikata.”

Alikutana vipi na Sugu?

“Nilikutana naye kwenye Mtandao wa Facebook na alikuwa akiniona nikiwa katika mavazi hayohayo ambayo yeye anadai ni ya kuvunja maadili na alinitongoza nakumbuka nilikuwa Zanzibar kwenye hoteli moja inaitwa Lagema, ambapo nilitupia picha zangu zilezile ndipo alipovutiwa nazo akarusha nyavu.”


Hakumpa masharti ya nguo anazopenda?

“Yeye aliniambia kuwa kama ‘package’ amepata iliyokamilika kuanzia mavazi yangu ninayovaa mpaka ‘tatoo’ nilizochora hivyo alinikubali kwa jinsi nilivyo.”

Anazungumziaje kuvaa nguo fupi?

“Jamani ninachoamini mimi nguo siyo kila kitu katika maisha ya mtu, mimi ni mama wa tofauti kwa mtoto wangu hilo hata Sugu mwenyewe analijua kabisa, nimeanza kumfundisha mtoto wangu kusoma kabla hata hajaanza shule na si mtu wa kujirusha kama wanavyofikiria.”


Kumbe vimini vilianzia kwenye filamu

“Kabla sijawa na Sugu, nilikuwa na filamu yangu inaitwa Jesca, nafikiri ndiyo muigizaji wa kwanza kuvaa bikini na kutembea hadharani lakini yote hiyo ni kutokana na mazoea, hata Sugu aliiona filamu hiyo, hakuona kama ni ukosefu wa maadili.”

Alitinga ‘swimming’ akiwa na mama mkwe

“Nakumbuka mimi na mama yake Sugu tulishawahi kwenda ufukweni nikiwa na mtoto wangu na nilikuwa nimevaa nguo za kuogelea na wala haikuwa tatizo na siyo mama hata nikiwa naye mara nyingi navaa hivyo, nashangaa sasa anasema navunja maadiliBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top