Loading...

Hawa ndio waliotolewa na Ray C kwenye dawa za kulevya..

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA lait
26 June ni siku ya maazimisho ya kupinga dawa ya kulevya Duniani, Ray C ni mmoja wa mastaa ambao walikubali kuingiza nguvu zote kwenye mapambano hayo… Unajua kasidia watu wangapi mpaka sasa?
255 ilimpata Ray C ambae amesema mpaka sasa amesaidia vijana zaidi ya 70 kuachana na dawa za kulevya, kwa sasa wanaendelea kutibiwa na wanaendelea na shughuli nyingine kama kawaida.
CC
Ray C
Ray C anajitolea au inamlipa? Ukweli ni kwamba Ray C hapokei chochote, anachokifanya kwa sasa ni kusaidia watu walioathirika kama njia ya kusema ahsante kwa Rais Jakaya Kikwete ambaye ndiye aliyemsaidia kwa kiasi kikubwa kuacha kutumia dawa za kulevya.
Black Rhino amesema Video yake ya ‘Black Chata’ ilimsaidia vitu vingi sana ikiwemo kuwa nominated mwaka 2009 kwenye Tuzo za Channel O ambapo kwa nafasi hiyo pekeyake ilimpa nafasi ya kupata connection na watu wengi akiwemo Producer na DJ mkubwa kutoka Capetown, Afrika Kusini ambae wamerekodi wimbo na video iitaachiwa any time kuanzia sasa.
TUNDA
Tundaman
Tundaman ameamua kutengenzea ngoma za Qaswida… hii ilikuwa idea yake ya muda mrefu kwani anamini safari yake kwenye muziki itaishia katika kuimba nyimbo za dini… Tunda amesema huu ni mwanzo mzuri kwake, album na video za Qaswida vikikamilika atasogeza mzigo mtaani kushare na watu wake !!
Ninayo 255 hapa, ukiplay utazikiliza story za mastaa wote leo June 26 2015.
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top