Loading...

FREEMASON WATHIBITISHA WOLPER KUWA MJUMBE WAO!!

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA Staa mwenye mvuto kunako gemu la filamu Bongo, Jacqueline Wolper.
BAADA ya hivi karibuni kunaswa akiingia katika jengo lao, staa mwenye mvuto kunako gemu la filamu Bongo, Jacqueline Wolper amezidi kugandwa na skendo ya Jamii ya Siri (Secret Society) ya Freemason akidaiwa kuishi kwa masharti ya taasisi hiyo huku nyumba yake ikiwa imejaa vitu vinavyodaiwa kuwa vya ‘Ki-freemason’.
Akizungumza na gazeti hili, ‘dada’ wa kazi wa Wolper ambaye kwa sasa ameacha kufanya kazi kwake huku akiomba hifadhi ya jina lake, alisema mbali na vitu hivyo, staa huyo anaishi kwa masharti makali kwani kila siku anaamka  
saa kumi alfajiri na wakati huo anamzuia dada huyo asiamke.
“Akiamka (Wolper) saa kumi hiyo alikuwa akinikataza nisiamke, sikuwahi kujua huwa anafanya kitu gani akiamka na kwa nini alikuwa akinikataza, ukweli maisha yake anaishi kwa masharti ya ajabuajabu nahisi ni Freemason,” alisema dada huyo.
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top