Loading...

BREAKING NEWZZZ....KADO,NIZAR, HABIB KONDO WANUSURIKA KIFO KWENYE AJALI MBAYA

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA Shabani Kado (aliyekaa kwenye tairi) amepata michubuko kidogo kwenye eneo la mkono mara baada ya ajali hiyo
Wachezaji na makocha wa Mwadui FC wamenusurika kifo baada ya gari walilokuwa makiendesha kuelekea Shinyanga kupata ajali na kupinduka mara tano kabla ya kusimama.
Wachezaji walionusurika kwenye ajali hiyo ni golikipa Shabani Kado pamoja na kiungo Nizar Khalfan.
Wachezaji hao wakiwa na makocha Habib Kondo na Khalid ( kocha wa makipa) walikuwa njiani kwenda kujiunga na kambi ya timu yao ya Mwadui FC.
“Sababu ya gari kupinduka ilikuwa ni baada ya tairi la nyuma kuchomoka,baada ya hapo gari ilipinduka karibia mara tano,hatukuumia sana isipokuwa mimi tu nilipata michubuko kwenye mkono”,  Shabani Kado ameuambia mtandao huu.
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top