BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Kuna jamaa anajulikana kwa jina la Scorpion anakaa maeneo ya Buguruni
huyo jamaa inasemekana ameshafanya matukio mengi sana ya kuwaibia watu
na kuwaua huku akiwatoa macho.
Jamaa hilo likatili lisilo na chembe ya huruma amefanya tukio lingine
ambapo amempiga visu kaka wa watu na baada ya hapo akamtoa macho yote
mawili.
Akielezea kwa uchungu tukio hilo mwanaume aliyefanyiwa tukio hilo mkazi
wa tabata Makuburi anasema alikuwa akitokea kazini kwake mida ya saa nne
usiku ndipo akashukia maeneo ya buguruni sheli na kwenda katika vibanda
vya kuku akawa ananunua ndipo alipotokea jamaa huyo na kumwambia kuwa
anashida aalipomuuliza shida yake jamaa huyo hakujibu chochote na baada
ya hapo alianza kumjeruhi kwa kumpiga visu mgongoni na tumboni.
Alijaribu kupiga kelele za kuomba msaada lakini hakuna mtu yoyote
aliyesogea kumsaidia japo kulikuwa kumejaa watu wengi barabarani
hapo.Hakuishia hapo baada ya kumchoma visu mgongoni na tumboni
alimsogeza barabarani kisha akamchoma visu machoni na kumtoa macho huku
watu wakishuhudia tukio lote.
Hakutetewa na mtu yoyote kwa sababu watu wanamuogopa ameshafanya matukio
mengi kama hayo na mtu anabojaribu kuingilia kibao kinamgeukia.
Akiongea na Geha.. Kaka aliyetolewa Macho akielezea kwa uchungu
Mimi nina ofisi yangu iko tabata nilifunga saa nne nikaona gari
zinachelewa ikapita bajaji ikasimama nikapanda ikaenda kuniacha buguruni
sheli,Wakati naenda kituoni nikaenda kununua kuku barabarani kwa ajili
ya mboga ya nyumbani…
Nikasimama nachagua kuku nikatoa hela kabla hajanirudishia chechi
akatokea jamaa huyo mwizi akaniambia “ninashida kaka” nikamwambia “ongea
shida yako mana ninaharaka nikitoka hapa nawahi nyumbani” akawa
hajasema chochote nikasema huyu mtu kama ni mwizi lakini hapa mbele za
watu hatoniibia na mawazo yangu ataniomba hela nitamwambia ale
anachotaka nimpe hela niondoke zangu yani hata sijapewa chenchi na muuza
kuku nikaanza kupigwa visu vya mgongo wauza kuku wapo hapo hapo watu
wako hapohapo hakuna hata mmoja aliyetoa kauli,tena napiga kelele jamani
nisaidieni mwizi nikapigwa visu vya tumboni huku anakata nikajaribu
nimshike akanin’gata nikapiga sana kelele jamani mwizi ananiua yani wala
sisikii kauli zao zaidi ya yule mwizi akisema “yani hapa hakuna mtu
atakaye kusaidia”
Baada ya hapo nikapoteza fahamu akanisogeza pembeni akanichoma visu
kwenye macho akaondoka watu wanashuhudia tena nasikia kuna wengine
walichukua video,akanivuta barabarani ili nigongwe na gari sasa gari
zikawa zinanipisha,kuna watu madereva wa pikipiki walikuwa wanaona,
Yani hapa mimi sioni kitu ambacho naumia sana sasahivi rafiki yangu anakuja naongea nae lakini simuoni mzazi wangu simuoni…
Kuna msamaria mwema alikuja akaniambia anataka kunisaidia nikamwambia
anipeleke nyumbani akaniambia hapana wewe umeumia akanipeleka polisi
buguruni nikachukua PF3 akanipeleka hospitali Amana ndipo ndugu zangu
wakaja wakanipeleka Muhimbili,Nikafanyiwa operation
Anajulikana Buguruni ni mtu wa ajabu sana,
Nilivyotoka Muhimbili nikaenda CCBRT wakaniambia huyu amekutoa macho
sikuridhika pia nikaenda KSMC wameniangalia vizuri macho wakanitoa nyuzi
wakasafisha wakaniambia wanauwezo wakuniweka macho bandia lakini uwezo
wakuniwekea macho yakafanya kazi hakuna labda nikajaribu India…
Mimi ningekuwa najua buguruni kuna mauaji wala nisingeendaga lakini
nilikuwa sijui,sasahivi ukienda kuulizia kuna mtu anaitwa scorpion
buguruni utaambiwa huyo muuaji mbaya sana amenitoa macho..
Nimeumia sana dadadangu kwa sababu nina familia nna watoto kwa mtu
yoyote anayenijua mimi lazima aliesana tangu nimeumia walimkataza hata
mama yaangu mzazi asije juzi ndio kaja, muda wote analia anakwambia
“yani bira wangenitoa mimi lakini sio wewe mwanangu”
Nikikaa huwa nalia sio mara moja kwa siku ninaposikia sauti ya mtoto
nalia rafiki yangu alikuwa ananifwata ofisini leo anakuja kuniona
nyumbani,nafikiria huyu mtu kwanini kanifanyia hivi wakati kabla
hajanitoa macho kila kitu alikuwa ameshachukua…BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Post a Comment