BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Chacha Makenge akiwa amelazwa chini kwenye hospitali ya Muhimbili.
Chande Abdallah na Deogratius Mongela, UWAZIYule mgonjwa aliyeibua
ubovu wa mtambo ya CT Scan na mashine ya MRI kwa Rais John Pombe
Magufuli, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, Chacha Makenge
(pichani)amekutwa na Uwazi akiwa amelala sakafuni wodini.
Desemba 25, mwaka huu, Uwazi lilifika hospitalini hapo Jengo la Sewa
Haji wodi namba 18 na kumshuhudia Chacha amelalia mashuka aliyoyatandika
chini huku akiwa ameshusha neti tofauti na wagonjwa wenzake waliolala
vitandani.
Akizungumza
na Uwazi, Chacha alisema, Desemba 24, mwaka huu, madaktari walimtaka
ahame kwenye kitanda hicho kwa sababu kuna mgonjwa mwingine alipaswa
kulazwa hapo.
“Mimi kitanda changu kilikuwa namba moja, sasa siku
hiyo niliambiwa nimpishe mgonjwa mwingine aje kitandani kwangu ndiyo
nikampisha na kuamua kulala chini kwa sababu walidai vitanda ni vichache
wodini,” alisema Chacha.
Uwazi lilimtafuta afisa habari wa
hospitali hiyo, Aminiel Eligaisha ili kumuuliza kuhusu kisa cha Chacha
kulala chini wakati serikali hivi karibuni ilinunua vitanda 300 na
magodoro yake kwa thamani ya shilingi Mil. 251 kwa ajili ya Taasisi ya
Moi, lakini alisema yupo likizo na kutoa namba za msaidizi wake, Neema
Mwangomo.
Neema yeye alisema suala la Chacha kulala chini au
kinyume chake linahusiana na uongozi wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya
Fahamu (Moi). Alipopigiwa msemaji wa Moi, Almasi Jumaa simu yake
haikupatikana hewani.
Novemba 9, mwaka huu, Rais Magufuli alifanya
ziara ya kushtukiza kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, Taasisi ya Moi
ambapo alipata maelezo kutoka kwa uongozi sambamba na baadhi ya wagonjwa
kumweleza kero yao.
Miongoni mwa wagonjwa hao ni Chacha ambaye
alimwambia rais kuhusu ubovu wa mashine za CT-Scan na MRI akisema
kuharibika kwake ndiko kunamfanya yeye aendelee kulazwa hapo kusubiri
zipone na kufanyiwa vipimo. Rais aliagiza mashine hizo zitengenezwa
haraka sana.BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Post a Comment