Loading...

LOWASA AKISHINDWA URAIS...HAKIKA NAWAONEA HURUMA HAWA WANASIASA ....WATATIA HURUMA SANA ..SIJUI WATAFICHA WAPI SURA ZAO

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA  
Nimetafakari sana na hakika nawahurumia sana baadhi ya watu. Wakati Lowasa akiwa CCM, walijipambanua kuwa chaguo lao ni Lowasa. Tena wakaunda mitandao mingi kama Friends of Lowasa, 4U Movement nk. Hawa piga ua walikuwa wanaamini kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ni Lowasa hivyo wakawa wanatumia muda mwingi kumnadi.
Baada ya Lowasa kukatwa na CCM, watu hao walilia sana na kusaga meno. Hata hivyo, kilio chao kilitulia baada ya Lowasa kuhamia CHADEMA. Wengi wao ambao wapo kwenye mitandao ya kijamii wakaenda huko kama vile nyumbu. Huku wakitaraji kuwa Lowasa ndiye Rais ajaye

Kutokana na upepo kuvuma vibaya, huku Lowasa akikimbiwa na kundi kubwa la wapiga kura, watu hao ambao kwa sasa wanajipambanua kwa kundi la Ulipo Tupo watalia tena kwa mara nyingine. Tena kilio cha safari hii hakina wa kuwafuta machozi. Maana baada ya kipigo atakachopata Lowasa, kundi hilo watapoteana kabisa.
Siku zi nyingi ukweli huu utadhihiri
Last edited by Lizaboni
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top