BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Ni dhahiri kuwa sasa uchaguzi umekamilika mara baada ya tume kumtangaza
mshindi wa urai ndgu yetu John Joseph Pombe Magufuli kuwa ndiye rais
mteule kwa mjibu wa matokeo.
Ushauri wangu kwamba kwa upande wa wabunge wa viti maalum naomba watoke
hata kule ambako CDM haikushinda lakini imefanya vizuri. Kuna kushinda
lakini pia kuna kufanya vizuri sana japo hukushinda. Hii inaweza kuwa
karata ya kukiimarisha chama kwa kuwa si kwamba baada ya kushindwa
wanachama wa CHADEMA ndo wamehamia CCM, hapana, bado wapo kabisa na cha
kushangaza hawana imani na CCM na mteule Magufuli wenyewe bado wanaamini
mabadiliko hayatatoka CCM hata siku moja ila ni mpaka upinzani uingie
madarakani.
Hivyo basi, kwa kuwapa nafasi ya mbunge viti maalumu bila shaka italeta
nguvu mpya ya mshikamao na mbunge huyo kazi yake nyingine itakuwa ni
kuendelea kufungua matawi mapya huku akiyaimarisha yale yaliyopo tayari.
Mungu bado anaipenda CHADEMA na wana CHADEMA wote popote walipo ndani na
nje ya nchi na ndiyo maana tumeona kabisa kuwa safari hii Chadema
kimepata nafasi ya kuunda na kuongoza halimashauri nyingi yakiwemo na
majiji makubwa mfano Arusha, Mbeya na pengine Jiji kuu la Dar. Hii ni
fursa kubwa mno kuliko wakati wowte w uwepo wake ktk siasa za Tanzania.
Ombi lakini pia angalizo: Hakikisheni kuwa kwa mara ya kwanza Jiji la
Dar limekuwa chini ya upinzani, na mfanye juu chini na uzalendo kabisa
kuwa mgombea wa CCM hapati nafasi ya kuwa Mayor kwakuwa madiwani wengi
na wabunge wengi Dar Es Salaam wanatoka upinzani.
Hivyo siasa ni mahesabu yalichanganyikana na science bila kusahau
technique na akili-maarifa. Kulichukua Jiji kuu kama Dar ni nafasi ya
heshima sana kwa chama pinzani kwa kuwa jiji hilo ndiyo sura ya nchi
nzima. Hivyo basi fanyeni kazi usiku na mchana ili kuwaletea kile
wananchi walichokikosa toka CCM na ndo kaana wakawakataa kwa njia ya
kura. kwa kutumia mapato ya Jiji, Boresheni miundo mbinu, elimu, afya na
nafasi za biashara kwa watu wenye hali ya chini maana hawa ndo
walioichoka CCM, matumaini yao ni kwenu.
Hivo hivo na kwenye halimashauri za wilayani mfano Ukerewe, Arumeru
Tunduma na kwinginepo fanyeni kiume mkawe hodari kwa vitendo na mipango
yenu yote ilete matokeo bora kwa watu husika. Jengeni shule za secondari
za kisasa zenye maabara na mazingira safi, jengeni shule za msingi safi
na zenye ubora kwa watoto huku mkijali maisha ya waalimu kwa kuwajengea
nyumba kwa kuwa hela mnazo za halimashari.
Naamini kufikia 2020 mtakuwa mmeshapata mtaji mkubwa mno mtakao uhubiri
kwa watanzania huku mkitoa mifano ya kazi zenu kwenye zile halimashauri
mlizoongoza kwa miaka mitano ijayo.
Hii itakuwa karata nzuri isiyohitaji maneno mengi bali iliyojaa vitendo
na utimilifu wa ahadi walizonadi wagombea. Watu washachoshwa na maneno
matamu ya CCM yasiyo na vitendo, basi ninyi mtakuwa mfano bora endapo
mkizifanyia hayo niliyoshauri hapo juu halimashauri zenu yakiwemo na
mjii, naamini uchaguzi ujao mtakuwa na nafasi kubwa sana ya kuongoza
halimashauri kam siyo zote basi thelui tatu ya wilaya zote nchi nzima.
Na hapo ndipo CCM itapoteza nguvu kabisa kuanzia serikali za mitaa hadi
ngazi za wilaya na majiji, na huu ndo utakuwa mwisho wa CCM.
Naomba kuwasilisha kwenu wadau na wapenda nchi yetu si kwa ushabiki
usiyo na ufahamu wa hali halisi ya Taifa letu ilivyo, kwamba CCM
imetumia hila hasa kwa wale walioishia elimu ya msingi wengi wao
wanaishi vijiji kwa utafiti wa TWAWEZA ulivyoonyesha.BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Post a Comment