BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Mbunge
wa Arusha Mjini,Godblees Lema, amesema watapokea "kigogo mkubwa" kutoka
CCM pamoja na wenyeviti wa mikoa na wilaya katika mkutano utakaofanyika
Dar-es-salaam.
Mkutano huo utafanyika wiki ijayo kwa mujibu wa taarifa hiyo.Shinikizo
dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, la kumtaka
akihame Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kuongezeka na katika timu
yake ya ndani ni watu wawili tu wanaonekana kumtaka abakie ndani ya
chama hicho. Habari za ndani ya vikao vya kujadili hatua za kuchukuliwa
na Lowassa baada ya jina lake kukatwa kwenye mchakato wa kugombea urais
kupitia CCM, zinasema kuwa wandani wake wanaamini kuwa hana atakachopata
kama ataendelea kubaki kwenye chama hicho tawala.
"Kaka sikiliza,
inavyoelekea shinikizo dhidi ya Lowassa ni kubwa sana. Watu wake wa
ndani wanataka aondoke CCM. Wanaona kama amedhalilishwa mno,"kilisema
chanzo chetu ndani ya vikao hivyo.
Chanzo
hicho kilichoomba kutokutajwa jina kwa sasa, kilisema kuwa watu wake wa
ndani wanaamini Lowassa akiendelea kubaki CCM atakuwa amewavunja moyo
wale wote waliompigania, hasa vijana waliojaa matumaini ya kumuona
akiongoza taifa hili.
Wandani wa Lowassa wanaamini kuwa kama akiamua
kujiunga na chama chenye nguvu cha upinzani anaweza kutimiza ndoto yake
ya kuwatumikia Watanzania kama rais wa awamu ya tano.
Chanzo chetu
kinasema kuwa Lowassa mwenyewe amekwisha kuamua kufanya uamuzi mgumu,
ila kuna msuguano juu ya namna ya kuondoka CCMBONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Home » Unlabelled » LEMA AFUNGUKA LIVE: TUTAMPOKEA KIGOGO HUYU WA CCM,TETESI ZA KIGOGO HUYO ZIKO HAPA
Post a Comment