BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku
huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo
za Mtv Awards kwa vile Kufanya Hivyo ataonekana anajipendekeza kwa vile
Diamond hajawahi kumuomba kufanya hivyo...
Pia amedai kuwa yeye na Diamond walishayamaliza hivyo hataki kujihusisha
na Diamond kwa njia yoyote ile kama ni kosa alishalifanya kipindi cha
nyuma na hawezi rudia kosa..
Katika hatua nyingine Wema Sepetu amedai kuwa Kitendo cha yeye kumsapoti
Ali Kiba katika tuzo za Kill Music kilikuja baada ya Ali Kiba yeye
Mwenyewe Kumuomba Wema Kufanya Hivyo na kumtumia picha ambazo alizipost
kwenye Account yake ya Instagram....
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
Home » Unlabelled » WEMA SEPETU: Siwezi Kumsapoti Diamond Platnumz Kwenye Mtv Awards Kwasababu Nitaonekana Ninajipendekeza,,
Post a Comment