Loading...

WEMA SEPETU NA MUME WA ZARI LIVE WAFUNGUA DUKA KUBWA LA VIPODOZI SOUTH AFRICA

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Msanii wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, kufungua duka kubwa la urembo nchini Afrika Kusini.
Kwa mujibu wa chanzo cha karibu nchini humo, Wema Sepetu aliongozana na dada yake baada ya kuwa kwenye mazungumzo ya muda mrefu na kampuni inayotaka kufanya kazi na Wema Sepetu pamoja kusambaza filamu yake ya D.A.D aliyocheza Na msanii maarufu kutoka Ghana Van Vicker, filamu hiyo inayotarajiwa kuoneshwakwenye kumbi mbali mbali za sinema pamoja na kusambazwa Afrika Kusini. Pamoja na wao kusambaza pia kampuni ya Endless Fame Production kutoka Tanzania pamoja na kampuni ya Sky and Orange production ya Ghana wamejiandaa vilivyo kuhakikisha filamu hiyo inapenya kimataifa tayari USA, UK, Canada na nchi nyinginezo karibuni wataachia website watu kufanya pre-order ya filamu ya D.A.D.
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top