Tujiangalie sana unapopata na hasira kwa ajili ya mpenzi wako na kuchukua maamuzi magumu sana katika jambo ambalo limeshatendeka na hata ukifanya nini
halitaweza kurudi, cha msingi ni kuangalia wapi mwenza wako kakosea na
kama imeshindikana ni bora uachane naye kwa kheri kuliko kuaribiana
maisha, ingawa maumivu yapo na yanauma ila tujali utu kuliko kufanya
unyama kama ulivyomkuta mwanadada Paulina wa
pande za Nigeria aka Naija, ambaye alimwagiwa
acid na mpenzi wake Mr. Ogba kutokana na wivu wa mapenzi, sasa jamaa
alibahatika kukamatwa na kufungwa jela miaka kumi tangu mwaka
2010...Swali ni Je, miaka kumi na kumuaribu mwenzio namna hii vinaendana?!BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI;
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich.
Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology.
She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music.
She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Loading...
MAPENZI NI SUMU, KWANINI TUFIKE HUKU?! JIONEE MWENYEWE HAPA!
BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Post a Comment