Loading...

KISA ALI KIBA, JOKATE AOGA MVUA YA MATUSI

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
3ea9b936192f11e3b1c722000a1fba7b_7Mwanamitindo na Msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo, maarufu kama ‘Kidoti.

MWANAMITINDO na Msanii wa Bongo Fleva, Jokate Mwegelo, maarufu kama ‘Kidoti’ amejikuta akiambulia matusi ya nguoni kwa kosa la kumpongeza msanii mwenzake wa Bongo Fleva, Ali Kiba baada ya kutwaa tuzo tano za Kili Music Awards zilizotolewa mwezi huu jijini Dar.
11327152_682883521844569_1776265493_n
 Ali Kiba

Mwanadada huyo ameioga mvua hiyo ya matusi katika akaunti yake ya Mtandao wa Kijamii wa Intagram kwa watu tofauti kwa kile kilichodaiwa kuwa anahaha baada kuachwa na Mbongo Fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’ ambapo ameamua kufanya hivyo ili kuupoza mtima wake na kwa sasa kuna taarifa kwamba Ali Kiba ndiye anayemmiliki mtoto huyo.

Baada ya kutokea ishu hiyo, Mikito Jumatano lilimtafuta Jokate ili kusikia anazungumziaje hilo ambapo alisema: “Nashindwa kuielewa jamii inataka mtu aishi vipi, lakini yote kwa yote siwezi nikamkandia mtu kwenye muziki wake, kwa upande wangu mimi ni shabiki wa Ali Kiba kwa sababu ninapenda kazi zake na hakuna wa kunizuia kufanya chochote juu yake.
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top