Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Akizungumzia madawa hayo pasipo
DOKTA
Chale ambaye anaandika makala za afya katika gazeti ndugu la hili la
Ijumaa, ameanika chanzo cha mastaa wengi kupata ugumba ambapo pamoja na
vyanzo vingine, ameyataja madawa ya kuongeza maumbile ya mwili na ya
kujichubua yanasababisha tatizo hilo.
kuyataja
majina (yamezagaa mitaani), dokta Chale alisema baadhi ya madawa hayo
yana kemikali ambazo hupenya hadi kwenye figo na kuzisababishia madhara
ambapo moja kwa moja hawezi tena kupata mtoto. Alisema amekuwa akisikia kila kukicha katika vyombo vya habari mastaa wakijieleza kuwa wamehangaika sana kupata watoto lakini imeshindikana pasipo kujua madawa hayo ndiyo chanzo hivyo ni vyema wakachukua tahadhari.
“Kwa wale ambao bado hawafikirii kuzaa ni vyema wakawa makini na madawa haya ya kuongeza maumbo yao. Yanaathiri figo na zikishaathirika mwanamke hawezi tena kupata ujauzito.
“Ni vyema wakawaona madaktari kwa ajili ya ushauri kabla hawajaanza kuyatumia maana baadhi ya dawa hizi zinaingizwa nchini bila kukaguliwa kama zinafaa kwa matumizi ya binadamu,” alisema Dokta Chale.
Miongoni mwa mastaa ambao wamesharipotiwa kuwa na tatizo la kukosa watoto kwa muda mrefu ni pamoja na mbunge mtarajiwa, Wema Sepetu ‘Madam,’ Judith Wambura ‘Jide,’ Rehema Chalamila ‘Ray C’ (pichani), Mainda Suka, Jacqueline Wolper na Jokate Mwegelo ‘Kidoti.BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.
Post a Comment