Loading...

BANZA STONE: MNANIUA SANA JAMANI!

BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA KIUTU UZIMA
Mwanamuziki nguli wa dansi, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. Gladness Mallya
BAADA ya uvumi kuzagaa mtaani kwamba mwanamuziki wa dansi, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia, Banza amesema amechoshwa na watu kumuua sana. 
Baada ya uvumi huo, ndugu zake wamesema watu waache kumuua kwa maneno kwani bado yupo hai. 
Ndugu mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Hamis, alisema uzushi wa kifo cha Banza umewasumbua sana kwani watu mbalimbali walikuwa wakipiga simu na wengine kufika nyumbani jambo ambalo lilimuumiza sana Banza japokuwa anaumwa lakini akawa analalamika kwa nini watu wanamuua kwa maneno na si mara moja kutokea. 
“Jamani yupo hai japokuwa anaumwa lakini anaongea tatizo lipo kwenye kusimama na kula, watu waache uzushi kwani wanamuumiza zaidi kwa uzushi wao huo,” alisema Hamis
BONYEZA HAPO UONE VIDEO YA MTOTO MKALI; Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright NEWS TIME | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top